BurudaniFilamu

Tessy: Sitaki kampani ya Marafiki

Mrembo wa Filamu nchini Tessy Chocolate amesema yuko vizuri zaidi kuwa mwenyewe kuliko kuwa karibu na marafiki.

Akipiga Story na spoti leo Tessy anadai kuwa mwanzo alikuwa akipoteza sana muda na marafiki.

“Nilikuwa nikipoteza muda na marafiki na kufanya vitu vingi lakini kwasasa niko sawa na muda mwingi natumia kufanya biashara zangu kujipatia kipato.”amesema

Aidha Tessy anaiona tofauti iliyopo kati ya kuwa na marafiki wa Bata kwa ukaribu zaidi na kuwa karibu na Marafiki ambao mnafanya nao mishemishe kwaajili ya kujiongezea kipato.

Related Articles

Back to top button