Karata muhimu kwa Stars AFCON leo

TIMU ya taifa ya soka(Taifa Stars) inashuka dimbani leo kuikabili Uganda Cranes katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) 2023 kundi F.
Mchezo huo kwenye uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri ni miongoni mwa mechi 15 za AFCON zitakazopigwa leo barani Afrika kama ifuatavyo:
Kundi A
Nigeria vs Guinea Bissau
Kundi B
Cape Verde vs Eswatini
Burkina Faso vs Togo
Kundi C
Cameroon vs Namibia
Kundi D
Misri vs Malawi
Guinea vs Ethiopia
Kundi G
Mali vs Gambia
Kundi H
Ivory Coast vs Comoros
Kundi I
DR Congo vs Mauritania
Kundi J
Equatorial Guinea vs Botswana
Tunisia vs Libya
Kundi K
Afrika Kusini vs Liberia
Kundi L
Senegal vs Msumbiji
Mbali na mechi hizo za AFCON pia michezo kadhaa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Ulaya(Euro 2024) itafanyika kama ifuatavyo:
Kundi B
Ufaransa vs Uholanzi
Gibraltar vs Ugiriki
Kundi E
Jamhuri ya Czech vs Poland
Moldova vs Visiwa vya Faroe
Kundi F
Austria vs Azerbaijan
Sweden vs Belgium
Kundi G
Bulgaria vs Montenegro
Serbia vs Lithuania