Africa

Mamelodi kukiwasha Azam Complex

MABINGWA wa Afrika Kusini Mamelodi Sundowns leo inashuka dimba la Azam Complex, Dar es Salaam kuivaa Bumamuru ya Burundi katika mchezo wa kwanza kuwania kufuzu makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Bumamuru imechagua uwanja wa Azam Complex kuwa uwanja wake wa nyumbani katika michuano hiyo.

Timu mbili za Tanzania zitashuka dimbani ugenini Septemba 16, Yanga ikikabiliana na Al-Merrikh ya Sudan wakati Simba itakuwa kibaruani dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button