Ligi Ya WanawakeNyumbani

Simba Queens dimbani leo

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara(SLWPL) inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Simba Queens itaikaribisha Mkwawa Queens kwenye uwanja wa Uhuru.

Simba Queens inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 30 baada ya michezo 13 wakati Mkwawa Queens ipo nafasi ya 10 mwisho wa msimamo ikiwa na pointi 2 baada ya michezo 12.

Related Articles

Back to top button