BurudaniFilamu

Shamsa Ford: Riziki kwa wanaume ni ngumu mno

MREMBO kutoka katika tasnia ya filamu nchini Shamsa Ford, amewataka wanaume hata kama wanapitia changamoto katika utafutaji wao watunze uwanaume wao.

Kupitia ukurasa wa instagram Shamsa ameandika wanatafuta riziki kwa shida wasitake kuishi maisha yalio nje ya uwezo wao.

“Upatikanaji wa riziki kwa watoto wakiume ni mgumu sana pamoja na kupata kwao riziki kwa shida nawaomba msiwe na tamaa yakuishi maisha mazuri usiyo na uwezo nayo itatoa utu wako kwa kitu cha muda mfupi nakusihi tunza uanaume wako. “

Related Articles

Back to top button