Africa

Samia aahidi zawadi zaidi kwa Yanga

RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kuipatia timu ya Yanga zawadi zaidi iwapo itatwaa Kombe la Shirikisho Afrika.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema hayo alipotembelea kambi ya Yanga huko Algeria kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya USM Alger utakaopigwa Juni 3.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Tanzania Yanga ilipoteza kwa mabao 2-1.

Related Articles

Back to top button