Ligi KuuNyumbani

Ruvu Shooting mtihani tena Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Mbeya City ikiwa mwenyeji wa Ruvu Shooting kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Mchezo huo ni mtihani mwingine kwa Ruvu Shooting inayoshika nafasi ya 16 mwisho wa msimamo wa Ligi ikiwa na alama 17 baada ya michezo 24.

Mbeya City ipo nafasi ya 10 ikiwa na alama 27.

Katika mchezo mmoja uliopigwa Machi 9, KMC imeibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button