
TIMU za Dodoma Jiji na JKT Tanzania leo zimenyakua ponti tatu muhimu kila moja ugegeni baada ya kuzifunga KMC na Mtibwa Sugar katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Michezo hiyo imefanyika viwanja vya Uhuru Dar es Salaam na Manungu mkoani morogoro.
FULLTIME
KMC 1 – 2 DODOMA JIJI
Rashid Chambo 32′ Zidane Sereri 3′
Emmanuel Martin 22′
MTIBWA SUGAR 1 – 2 JKT TANZANIA
Juma Nyangi 45′ Danny Lyanga 22′
Najim Magulu 87′