BundesligaKwinginekoLa LigaSerie A
Patashika Juventus vs Napoli leo

MICHEZO ya mpira wa miguu maeneo mbalimbali duniani inafanyika ukiwemo kati ya Juventus na Napoli Ligi Kuu Italia.
Mechi za ligi nyingine tatu bora ulaya ni kama ifuatavyo:
LILIGA
Getafe vs Valencia
BUNDESLIGA
Hoffenheim vs Bochum
LIGUE 1
Montpellier vs Lens