Africa
10 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
52 minutes ago
MICHEZO nane ya kwanza ya raundi ya mtoano michuano ya Ligi ya Europa inapigwa leo huku kipute kati ya Barcelona…
Read More »
MCHEZO wa kiporo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kati ya Arsenal na Manchester City unapigwa leo huku mashabiki wa…
Read More »
RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh milioni 5 kwa kila goli litakalofungwa na wachezaji wa timu za Simba na…
Read More »
LIGI ya Mabingwa barani Ulaya(UCL) inarejea leo kwa michezo miwili hatua ya 16 bora huku kivutio kikiwa mchezo kati ya…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…