Africa
15 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
57 minutes ago
ILIKUWA kama ndoto wakati Yanga wanaianza safari ya michuano ya kimataifa msimu huu, dhamira yao ilikuwa ni kupambana angalau kuingia…
Read More »
MSHAMBULIAJI wa Manchester City Erling, Erling Haaland amekiri kuvunja kwake rekodi katika msimu wake wa kwanza Ligi Kuu England(EPL) kumepitiliza…
Read More »
NYOTA wa Liverpool ‘The Reds’ Mohamed Salah amesema “Nimefadhaishwa” ni baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya…
Read More »
Kuelelea mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Yanga dhidi ya USM Alger Mei 28, hizi ni…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…