Africa
54 minutes ago
Hapatoshi CAFCL wikiendi hii
Kwingineko
1 hour ago
Ronaldo uso kwa uso na Trump
Mastaa
3 hours ago
KLABU za Ihefu na Ruvu Shooting leo zitakuwa kwenye mtihani zitakaposhuka viwanja…
DAKTARI Mkuu wa timu ya Yanga, Youssef Mohamed amesema afya ya mshambuliaji…
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema…
HUKU ikiendelea kushika mkia nafasi ya mwisho katika msimamo wa Ligi Kuu…
LIGI Kuu ya soka ya wanawake Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo…
KOCHA Msaidizi wa Coastal Union, Joseph Lazaro ameshauri klabu za mpira wa…
DIDIER Deschamps ametangaza kuwa ataacha kuifundisha timu ya taifa ya Ufaransa baada ya Kombe la Dunia la 2026, akihitimisha enzi…
Read More »
BABA yake Elon Musk, Errol Musk amesema kuwa mwanaye bilionea Elon Musk ameonesha nia ya kuinunua klabu ya soka ya…
Read More »
MADRID: MCHEZAJI wa Real Madrid, Vinicius Junior, amepewa adhabu ya kutocheza mechi mbili baada ya kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo…
Read More »
DAR ES SALAAM: BEKI wa kati wa Yanga Dickson Job amesema kwa sasa akili yao wanaielekeza kwenye mchezo unaofuata ugenini…
Read More »
CAIRO: VIGOGO wa Afrika, Al Ahly, Mamelodi Sundowns na Esperance de Tunis, Simba na Yanga wanatarajiwa kulinda heshima ya nyumbani katika mechi zao za ufunguzi wa hatua ya makundi ya…
AMSTERDAM: KOCHA mkongwe Dick Advocaat amesema kufuzu kwa taifa dogo la Curaçao katika Kombe la Dunia ni “kitu cha ajabu zaidi” kuwahi kutokea katika maisha yake yote ya ukocha. Kisiwa…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Simba Queens Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema soka la wanawake limebadilika siku hizi hakuna timu ya kudharau kila mpinzani wanamuheshimu na kuuchukulia mchezo kama fainali. Kauli…
MUMBAI: MUIGIZAJI na ikoni ya mitindo huko Bollywood, Sonam Kapoor Ahuja, ametangaza rasmi kwamba yeye na mumewe Anand Ahuja wanatarajia mtoto wao wa pili. Wawili hao tayari ni wazazi wa…
LOS ANGELES: WAANDAAJI wa tuzo za Oscars 2026 wameahidi kutanua wigo wa tuzo hizo na kuongeza ubunifu mbalimbali ikiwemo kuonesha vipengele vyote vya tuzo 24 mubashara. Waandaaji hao wamethibitisha kwamba…
WASHINGTON DC: MWANASOKA maarufu duniani Cristiano Ronaldo ambaye sasa anakipiga katika timu ya Al Naasr ya Saudi Arabia akiwa na mchumba wake Georgina wamekutana na kuzungumza na Raisi wa Marekani…