KwinginekoSerie A
Ni vita Inter vs Napoli leo

LIGI Kuu ya soka Italia’Serie A’ inarejea leo baada ya kusimama Novemba 13, 2022 kupisha Kombe la Dunia huku mechi kati ya Inter na Napoli ikiwa kivutio.
Michuano ya Kombe la Dunia 2022 ilifanyika Qatar kuanzia Novemba 20 hadi Desemba 18 ambapo Argentina ilitwaa kombe hilo kwa mara ya tatu tangu kuanzishwa michuano hiyo mwaka 1930.
Michezo mingine ya Serie A leo ni kama ifuatavyo:
Spezia vs Atalanta
Torino vs Verona
Lecce vs Lazio
Salernitana vs AC Milan
Sassuolo vs Sampdoria
Roma vs Bologna
Cremonese vs Juventus
Fiorentina vs Monza
Udinese vs Empoli