Kwingineko

Ni vita Bayern vs Man City ulaya leo

MECHI mbili za mwisho za marudiano za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa zinapgwa leo Ujerumani na Italia.

Kivumbi ni kwenye uwanja wa Allianz jijini Munich, Ujerumani wakati miamba ya Bundesliga, Bayern Munich itakapotaka kulipiza kisasi cha kuchapwa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza dhidi ya Manchester City

Mtanange mwingine utahusisha Inter Milan itakayokuwa uwanja wa nyumbani wa Giuseppe Meazza jijini Milan, Italia kuikaribisha Benfica huku ikiongoza kwa faida ya mabao 2-0 iliyoyapata katika mchezo wa kwanza.

Real Madrid na AC Milan zimefuzu kucheza nusu fainali ya michuano hiyo baada ya kuzitoa Chelsea na Napoli.

 

Related Articles

Back to top button