TIMU ya soka ya taifa kwa wanaume chini ya miaka 23 leo inaikabili Nigeria katika mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) U23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Tanzania imefikia hatua hiyo baada ya kuitoa Sudan Kusini.
Michezo mingine kufuzu U23 ni kama ifuatavyo:
Niger vs Ivory Coast
Sudan vs Benin
Eswatini vs Misri
Sierra Leone vs Zambia
Togo vs Afrika Kusini
Congo vs Tunisia
DR Congo vs Algeria
Msumbiji vs Ghana
Burkina Faso vs Senegal
Rwanda vs Mali
Madagascar vs Gabon
Angola vs Cameroon




