Ligi KuuNyumbani

Mtibwa vs Singida patashika Ligi Kuu

LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja mkoani Morogoro.

Mtibwa Sugar ni wenyeji wa Singida Big Stars katika uwanja wa Manungu uliopo Turiani.

Mtibwa inashika nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 9 baada ya michezo 7 wakati Singida ipo nafasi ya 10 ikiwa na pointi 8 baada ya michezo 5.

Related Articles

Back to top button