Nyumbani

Mchengerwa mgeni rasmi kilele Wiki ya Mwananchi

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi ya klabu ya Yanga Julai 22.

Yanga itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini wakati wa kilele hicho kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Kilele cha Wiki ya Mwananchi pia hutumika kutambulisha wachezaji na viongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button