Nyumbani

Ligi ya mabingwa mikoa kuanza leo

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2023 inaanza leo kwa michezo minane kwenye vituo vinne.

Vituo hivyo ni Kagera, Kigoma, Shinyanga na Katavi.

Michezo ya leo ni kama ifuatavyo:

Kundi A-Kituo cha Kagera:Uwanja wa Kaitaba
Nyumbu vs Mapinduzi
Buhaya vs Geita Academy

Kundi B-Kituo cha Kigoma:Uwanja wa Lake Tanganyika.
Arusha City vs Mambali Ushirikiano
Aglo Sports Academy vs Kikosa United

Kundi C-Kituo cha Shinyanga: Uwanja wa Taifa
Aca Eagle vs Bus Stand
Anuary vs Tanzania Navy

Kundi D-Kituo cha Katavi:Uwanja wa Azimio
KFC vs Hollywood
Malimao vs Zamalek

Related Articles

Back to top button