Ligi KuuNyumbani

Ligi kuu kama kawa leo

LIGI KuuTanzania Bara inarejea leo kwa michezo miwili kupigwa Singida na Dar es Salaam.

Singida Big Stars itakuwa nyumbani kuikaribisha Polisi Tanzania kwenye uwanja wa LITI mjini Singida.

Baada kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Azam katika mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) Mtibwa Sugar itakuwa mgeni tena wa Azam kwenye uwanja Azam Complex.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button