Kwingineko

Kivumbi marudiano Ligi ya Mabingwa Ulaya

MICHEZO miwili ya marudiano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inafanyika leo England na Italia.

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza mjini Madrid Aprili 12, Real Madrid itakuwa ugenini kuivaa Chelsea kwenye uwanja wa Stamford Bridge.

Napoli itakuwa nyumbani uwanja wa Diego Armando Maradona jijini Naples ikitaka kulipiza kisasi cha kufungwa bao 1-0 na AC Milan katika mchezo wa kwanza.

Related Articles

Back to top button