Kwingineko
Kivumbi kufuzu EURO 2024
MICHEZO kadhaa ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO 2024) zinapigwa kwenye viwanja tofauti.
Fainali za EURO 2024 zitafanyika Ujerumani kuanzia Ijumaa Juni 14 jijini Munich na fainali kupigwa Jumapili Julai 14 jijini Berlin huku wenyeji Ujemani ikifungua dimba katika mchezo wa kundi A dhidi ya Scotland.
Mechi hizo za kufuzu zinazofanyika leo ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Poland vs Estonia
Wales vs Finland
KUNDI B
Bosnia and Herzegovina vs Ukraine
Israel vs Iceland
KUNDI C
Georgia vs Luxembourg
Greece vs Kazakhstan




