
Ligi kuu ys soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika Dar es Salaam.
Ihefu inayoshika mkia nafasi ya 16 katika msimamo wa ligi bila pointi baada ya michezo 3 itakuwa mgeni wa KMC kwenye uwanja wa Uhuru.
KMC inashika nafasi ya 11 ikiwa na pointi 2 baada ya michezo 3 pia.