Ligi KuuNyumbani

Ihefu kujinasua mkiani leo?

LIGI kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja mkoani Geita.

Katika mchezo huo Geita Gold itakuwa mwenyeji wa Ihefu kwenye uwanja wa Nyankumbu uliopo Halmashauri ya Geita.

Geita Gold inashika nafasi ya 7 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 18 baada ya michezo 13.

Ihefu ipo nafasi ya 16 mwisho wa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 8 baada ya michezo 12.

Related Articles

Back to top button