Ligi Daraja La Kwanza

Feisal ajipanga majukumu mapya

Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anajipanga kwa majukumu mapya na anajua kutakuwa na ushindani mkubwa wa namba kutokana na wachezaji wazuri waliopo kwenye kikosi hicho.
.
“Azam FC ina mashindano ya kimataifa, lazima nijipange kuhakikisha nakuwa msaada wa timu yangu kufanya vizuri, leo tupo kwa ajili ya vipimo ili kujua afya zetu kuelekea msimu ujao,” alisema.
.
“Kila mchezaji anaweza akapitia kipindi kama changu kwani kufanya mazoezi peke yako hayawezi kufanana na kufanya na timu. Nilikuwa nakumbuka kucheza, hivyo ni muda wangu wa kujiandaa kwa sasa, kikubwa wachezaji wenzangu wamenipokea vizuri, hivyo naamini tutafanya kazi kwa ushirikiano kwa ajili ya timu.”

Related Articles

Back to top button