
DROO ya raundi ya pili michezo 64 ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC)-FA itafanyika Novemba 30, 2022.
Droo hiyo itakayofanyika Dar es Salaam itahusisha timu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, First League, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa na FA.
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga ndio bingwa mtetezi wa taji la FA.