Europa

De Bruyne aachwa Ubelgiji

KIUNGO wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Kevin De Bryune hajajumuishwa katika kikosi hicho.

Belgium atakuwa na michezo miwili, dhidi ya Jamhuri ya Ireland na England ya kufuzu mashindano ga Euro 2024.

Taarifa ya mwanahabari Kristof Terreur, imeeleza Kevin De Bruyne amepata jeraha dogo la kinena.

“Ni bora kumpa muda wa kupona vizuri akiwa City na kuwa tayari kwa Euro”, ameandika Fabrizio Ronaldo akimnukuu, kocha wa Ubelgiji Tedesco.

Related Articles

Back to top button