Ligi KuuNyumbani

Chilambo aongeza miwili Azam

Beki wa timu ya Azam Nathaniel Chilambo amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kusalia Chamazi.

Chilambo ni mchezaji wa tatu kuongeza mkataba klabu hiyo baada ya James Akaminko na Sospeter Bajana kufanya hivyo wiki hii.

“Beki mahiri wa kulia, @chilambo20, atasalia kwenye klabu yetu hadi mwaka 2025,” imesema taarifa ya Azam.

Chilambo alisaini mkataba wa mwaka mmoja Azam Julai 6, 2022 akitokea Ruvu Shooting.

Related Articles

Back to top button