EPLKwingineko

Chelsea vs Liverpool: Mechi ya vigogo vibonde EPL

LIGI Kuu England(EPL) inaendelea leo kwa michezo minne kwenye viwanja tofauti huku mechi kivutio ikiwa Chelsea kuikaribisha Liverpool kwenye wake wa Stanford Bridge.

Chelsea ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Aston Villa katika mchezo uliopita wakati Liverpool iliangushiwa dhoruba ya mabao-4-1 na Manchester City ambapo pia Chelsea na Liverpool zimekuwa na mwenendo usioridhisha katika ligi hiyo.

Katika michezo mingine Brighton & Hove Albion itakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth wakati Leeds United iakuwa nyumbani dhidi ya Nottingham Forest.

Nayo Aston Villa itakuwa ugenini kuikabili Leicester City.

Michuano mingine katika nchi mbalimbali ni kama ifuatavyo:

NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME HISPANIA
Athletic Bilbao vs Osasuna

KOMBE LA ITALIA
Juventus vs Inter

ROBO FAINALI KOMBE LA UJERUMANI
Eintracht Frankfurt vs Union Berlin
Bayern Munich vs Freiburg

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button