EPLKwingineko

Man UTD vs Chelsea: Mechi ya heshima

LIGI Kuu England inaendelea leo kwa michezo sita ukiwemo kati ya Manchester United na Chelsea , unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mpira wa miguu.

Manchester United ipo nafasi ya saba katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 24 baada ya michezo 14 wakati Chelsea ni ya 10 ikikusanya pointi 19.

During the last 78 meetings, Manchester United have won 23 times, there have been 32 draws while Chelsea FC have won 23 times.

Katika michezo 78 ya mwisho timu hizo zilipokutana Manchester United imeshinda mara 23, zimetoka sare mara 32 wakati Cheslea imeshinda mara 23.

Michezo mingine ya EPL leo pamoja na Ligi Kuu Ufaransa ni kama ifuatavyo:

PREMIER LEAGUE
Brighton vs Brentford
Crystal Palace vs Bournemouth
Fulham vs Nottigham Forest
Sheffield United vs Liverpool
Aston Villa vs Manchester City

LIGUE 1
Marseille vs Lyon

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button