Ligi KuuNyumbani

Chama na Simba mambo safi

UONGOZI wa klabu ya Simba umesema majadiliano na kiungo Clatous Chama yamemalizika vizuri na nyota huyo sasa ataondoka nchini muda wowote kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake.

Hapo awali ilielezwa  kuwa na sintofahamu ya kimkataba baina ya mchezaji huyo na timu yake lakini sasa kila kitu kipo sawa.

Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabakaji, Fabrice Ngoma ili kuungana na timu hiyo iliyo kwenye maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.

Related Articles

Back to top button