Ligi Ya WanawakeNyumbani

Ceasiaa Queens kujiuliza kwa Simba Queens leo

MICHEZO ya raundi 9 ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara(SLWPL) inaanza leo kwa mechi moja wakati Simba Queens itakapokuwa mwenyeji wa Ceasiaa Queens.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Simba Queens inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 19 baada ya michezo 8 wakati Ceasiaa Queens inashika 6 ikiwa na pointi 10.

Related Articles

Back to top button