Tetesi
Cancelo kusepa City

Imeelezwa Joao Cancelo na Man City huenda wakaacha rasmi, baada ya pande zote mbili kuonesha nia hiyo.
City walimtoa Cancelo kwa mkopo kwenda Bayern Munchen hata hivyo wajerumani hao wahajaonesha nia ya kubaki naye.
Barcelona imeripotiwa kutaka kumsajili beki huyo raia wa Ureno.
City inajiandaa kumuongezea mkataba mpya Kyle Walker kuziba nafasi ya Cancelo.