EPL

BIG Sam kuinurusu Leeds?

RASMI: Sam Allardyce ‘BIG SAM’ ameteuliwa kuwa kocha wa Leeds akichukuwa nafasi ya Javi Gracia aliyetimuliwa.

‘Big Sam’ ataitumikia Leeds mpaka June, 2023 ambapo klabu hiyo itaamua mustakabali wa kocha mwingine.

Kocha huyo ana michezo minne ya kuinusuru Leeds kutoka kwenye hatari ya kushuka daraja msimu huu.

Leeds inashika nafasi ya 17 ikiwa na pointi 30, sambamba na Notts Forest anayeshika nafasi ya 18 akiwa na idadi hiyo ya alama.

Related Articles

Back to top button