BundesligaKwinginekoLa Liga
Bayern, PSG kazini ligi
MICHEZO ya mpira wa miguu ya ligi mbalimbali duniani inaendelea leo viwanja tofauti.
Zifuatavyo ni mechi za ligi kuu Hispania, Ujerumani na Ufaransa zinazopigwa leo.
LALIGA
Deportivo Alaves vs Granada
BUNDESLIGA
FC Cologne vs Bayern Munich
LIGUE 1
PSG vs Monaco