Featured

Azam kukiwasha kirafiki dhidi ya KMKM

MATAJIRI wa Dar es Salaam klabu ya Azam itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar Februari 11.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar e Salaam. Azam ipo nafasi ya 3 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 43 baada ya michezo 22.

Kwa mujibu wa Azam mchezo huo ni wa kuwaweka kwenye ushindani wachezaji wa kikosi hicho na kujiandaa na mechi za mashindano.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button