EPLKwingineko

Arsenal yakaribia dili la Mudryk kwa bil 225.9/-

KUMEKUWA na ongezezko la imani kwamba klabu ya Arsenal inakaribia kukubaliana na Shakhtar Donetsk kuhusu kumsajili kiungo Mykhailo Mudryk mwezi huu.

Sources in Ukraine say discussions over a move for the Ukraine international – believed to be worth between £75million and £80million – are still ongoing.

Vyanzo vya habari nchini Ukraine vimesema majadiliano ya uhamisho wa nyota huyo wa kimataifa wa nchi hiyo unaoaminika kuwa na thamani kati ya pauni milioni 75 na 80 sawa na kati ya shilingi bilioni 211.8 na 225.9 yanaendelea.

Shakhtar iliweka bei ya pauni milioni 88 sawa na shilingi bilioni 248.5 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 na inaeleweka kuwa Arsenal sasa inaweza kuwa tayari kutoa zaidi ya pauni milioni 50 sawa na shilingi bilioni 141 za utangulizi.

Masharti binafsi hayatarajiwi kuwa tatizo ikitiliwa maanani kuwa Mudryk ameweka wazi nia yake kuijiunga na Arsenal.

Related Articles

Back to top button