Europa

Ancelotti ahakikishiwa ulaji

KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema amekutana na Rais wa klabu hiyo, Florentino Perez na anamuunga mkono kwa asilimia zote, licha ya kukosa ubingwa wa La Liga na Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Klabu imenihakikishia nitabaki. Dunia nzima inajua nina mkataba hapa na nataka nibaki.” Amesema Ancelotti.

Related Articles

Back to top button