Ligi KuuNyumbani

Alassane Diao mali ya Azam

MIAMBA ya Chamazi, Dar es Salaam, timu ya Azam imetangaza kusajili mashine nyingine safari hii ikimtambulisha Alassane Diao kutoka Afrika Magharibi.

Diao ni usajili mpya wa tatu Azam baada ya Feisal Salum na Djibril Sillah.

“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji hatari kutoka Senegal, Alassane Diao, akitokea US Goree”, imesema taarifa ya Azam.

Klabu mbalimbali ziko katika harakati za kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button