AFCONAfricaKwingineko
Patashika kufuzu AFCON, EURO leo

BAADA ya timu ya taifa ya soka Tanzania(Taifa Stars) Septemba 8 kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika(AFCON) 2023, michuano hiyo na ile ya Kombe la Mataifa ya Ulaya (EURO 2024) inaendelea leo maeneo mbalimbali.
Mitanange kufuzu AFCON leo ni kama ifuatavyo:
KUNDI B
Burkina Faso vs Eswatini
KUNDI D
Misri vs Ethiopia
KUNDI G
Mali vs Sudan Kusini
Katika michuano ya EURO patashika ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Georgia vs Hispania
Cyprus vs Scotland
KUNDI D
Croatia vs Latvia
Uturuki vs Armenia
KUNDI J
Bosnia and Herzegovina vs Liechtenstein
Luxembourg vs Iceland
Slovakia vs Ureno