AfricaAfrika Mashariki

Michuano FEASSSA kuanza leo Rwanda

Msafara wa wanafunzi, walimu na viongozi wapatao 440 kutoka Tanzania umeondoka mkoani Tabora kwenda Rwanda kushiriki Mashindano ya 21 ya michezo ya Shule za Msingi na Sekondari kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) yanayoanza leo.

Katika mashindano hayo yanayofanyika mji wa Huye, Tanzania itashiriki katika michezo ya soka, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, hockey, tennis, riadha, mpira wa mikono na netiboli.

Nchi nyingine zinazoshiriki ni Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kenya na Uganda.

Related Articles

Back to top button