Nyumbani

Yanga, Moro Kids kushirikiana

KLABU ya Yanga leo imeingia makubaliano na kituo cha kukuza vipaji cha Moro Kids cha Morogoro kuendelea soka.

Yanga imesema hayo kupitia mitandao yake ya kijamii.

“Maeneo ambayo yatatiliwa mkazo ni kujenga uwezo kitaaluma, vifaa vya michezo, uwezeshaji wa kiuchumi, kubadilishana uzoefu na utafutaji wa masoko kwa wachezaji wanaozalishwa katika kituo,” imesema Yanga.

Katika Yanga pia ina timu za vijana za U17 na U20.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button