Tetesi
Fernabahce yamtaka Jorginho

TAARIFA kutoka nchini Uturuki zinaeleza klabu ya Fernabahce inapanga kumchukua kiungo Jorginho kutoka Arsenal.
Kwa mujibu wa kituo cha habari cha TRT-Turkish imeelezwa uamuzi wa Fenerbahce umetokana na mchezaji huyo kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza.