Ligi KuuNyumbani

Jasho na damu mtoano watoza ushuru

MCHEZO wa mkondo wa kwanza wa mtoani kuwania kubaki Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mbeya City na KMC unapigwa leo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

KMC ilishika nafasi 13 huku Mbeya City ikiwa ya 14 hadi ligi inafikia tamati Juni 9.

Mchezo wa mkondo wa pili itapigwa Dar es Salaam Juni 16.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button