EPL
Liverpool yakamilisha usajili wa Mac Allister

RASMI: Liverpool imekamilisha usajili wa kiungo Alexis Mac Allister kwa dau la pauni milioni 35 kutoka Brighton & Hove Albion.
Liverpool ilikamilisha vipimo vya afya jana baada ya kupata ruhusa kutoka Brighton.
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, Mac Allister amesaini mkataba wa miaka mitano utakaoisha 2028.




