World Cup
Kipute Flamengo vs Al Hilal Kombe la Dunia la Klabu
MICHUANO ya Kombe la Dunia la Klabu inaendelea kupamba moto nchini Morocco ambapo leo Flamengo ya Brazil itaavana na Al Hilal ya Saudi Arabia.
Mchezo huo utafanyika uwanja wa Tanger ulipo jijini la Tangier.
Katika mchezo uliopita Al Hilal iliitoa Wydad Casablanca ya Morocco kwa mikwaju ya penalti 5-3.




