World Cup

Taifa Stars mtihani leo

TIMU ya taifa ya mpira wa mguu(Taifa Stars) leo inashuka dimbani kuikabili Morocco katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026.

Mchezo huo wa pili kwa stars kundi E utafanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Katika mchezo wa kwanza dhidi ya Niger Novemba 18 Stars ilishinda kwa bao 1-0 mchezo uliofanyika Morocco.

Nchi nyingine katika kundi E ni Zambia na Jamhuri ya Congo.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button