Ligi KuuNyumbani

Ajibu out Azam

KLABU ya Azam imetangaza kuachana na kiungo wake Ibrahim Ajibu.

Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii ya Azam timu hiyo imemshukuru mchezaji huyo kwa kuitumikia klabu yenye maskani yake Chamazi, Dar es Salaam.

“Ahsante sana, Ibrahim Ajibu kwa kuwa sehemu ya familia yetu,” imesema mitandao ya azam.

Ajibu alisajiliwa Azam 2021 kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Simba.

Related Articles

Back to top button