Burudani

Mashabiki wamwagiwa maji Tamasha la Travis Scott

MUMBAI: MSANII nyota kutoka Marekani, Travis Scott, akiwa anatumbuiza katika jukwaa la Mahalaxmi Racecourse mjini Mumbai nchini India jana huku joto kali likitanda katika ukumbi huo na kuzua taharuki kwa wahudhuliaji.

Baada ya joto kuzidi ukumbini hapo walinzi waliamua kunyunyizia maji mashabiki ili kupunguza joto.

Katika klipu inayovuma, kikosi cha ulinzi kinaonekana kikiwa na mabomba za maji, kikielekeza maji kwa mashabiki waliokuwa wakisubiri show ianze na mashabiki wanaonekana wakifurahia tukio hilo na walipongeza njia hiyo iliyotumiwa na walizni hao ikidaiwa kuwa ni ya ubunifu wa kitenolojia.

Mashabiki wengine walidhani imemwaga dawa ya kuua vijidudu kumbe ilikuwa ni maji ya kuzuia joto yaliyobuniwa na waandaaji wa tamasha hilo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button