BurudaniMuziki

Tamasha la muziki Afrika kufanyika Tanzania

WATAALAMU na wadau wa muziki Barani Afrika watakutana Tanzania kubadilishana mawazo ambapo pia maonesho ya muziki wa Afrika yatafanyika Novemba 24-26, 2022.

Matukio hayo yatafanyika Dar es Salaam.

Mkutano wa wataalamu na wadau hao yatafanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere wakati maonesho ya muziki yatafanyika eneo la Makumbusho.

Related Articles

Back to top button