MKALI wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewataka wasanii wanapopewa mialiko ya kutumbuiza katika matamasha mbalimbali wakubali.
Akizungumza na waandishi Diamond Platnumz amesema msanii unaitwa kwenye Show unaleta mapozi ya nini?.
“Nikimwita msanii kwenye show ukiringaringa nakukataa kweli yanini nikubembeleze nachukuwa wengine.”amesema Diamond Platnumz